Afrika Kusini: Thabo Bester apandishwa kizimbani, ahofia kulishwa sumu akiwa Mahabusu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1681477969008.png

Thabo Bester, maarufu kama "Mbakaji wa Facebook" amegoma kula chakula cha Mahabusu kwa saa 48 zilizopita akidai kuhofia kuwekewa sumu, hivyo kuomba Mahakama kuruhusu Mawakili wake kumpelekea chakula.

Thabo Bester amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kujizushia kifo na kutoroka jela nchini SouthAfrica alikokuwa amefungwa maisha tokea mwaka 2012 kwa Ubakaji na Mauaji.

Alikamatwa nchini Tanzania akiwa na Mpenzi wake Dr. Ndanimpha wakiwa njiani kuelekea nchini Kenya. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 16, 2023.

...........

'Facebook rapist' fears poisoning SA court told

A convicted rapist and murderer who escaped from jail last year has appeared in court for the first time since his re-arrest earlier this month.

Thabo Bester, the so-called "Facebook rapist" who used the social media site to lure victims, has alleged at Friday's hearing that his ID number is incorrectly listed on documents and that it is not safe for him to eat prison food in case somebody poisons him.

Instead he wants his lawyers to provide his meals, and he has refused to eat for the past 48 hours.

His lawyers said Bester would not apply for bail but argued he maintains the right to do so at a later date.

Bester's case has now been postponed until next month.

Sources: BBC, CNN.
 
Hapa akiwa Mahakamani.

Mwamba kazingua yule mwanamke ndio kachoma ramani yaani papuchi haijawahi kumuacha mtu Salama
 
Aliyeua wenzake ana hofia kuuawa, Maisha haya..
Ila ni kweli ilikuwa kuwalaghai na kuwabaka tu au walikuwa wanafanya zaidi ya hapo kama kutoa viungo, maana haimake sense kwamba issue ilikuwa kubaka tu na huyo nandipha bado akaendelea tu kumganda thabo . Unawezaje kuwa inlove na rapist kiasi hicho ?
Mshana Jr great thinker Hebu nisaidie Japo uelewa kidg hapa
 
Itakua ni kuwatoa na viungo, ndo maana walikia na ukwasi mkubwa wa kuwafanya kutoloka jera na kuvuka boda mbalimbali.
 
Back
Top Bottom