misnomer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 202
- 69
Habari za msiba wa mpendwa wetu Kanumba zimeenea sana Afrika Magharibi, kuna wachache wanaoamini kuwa marehemu kagongwa na gari. Kanumba alikuwepo nchini Ghana mwanzoni mwa mwezi Machi. Fuatilia moja ya blogu yao hapa:
Tanzanian Actor Steven Kanumba Was Killed By Elizabeth Lulu Micheals | OMG! Ghana
Tanzanian Actor Steven Kanumba Was Killed By Elizabeth Lulu Micheals | OMG! Ghana