misnomer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2011 Posts 202 Reaction score 69 Apr 8, 2012 #1 Habari za msiba wa mpendwa wetu Kanumba zimeenea sana Afrika Magharibi, kuna wachache wanaoamini kuwa marehemu kagongwa na gari. Kanumba alikuwepo nchini Ghana mwanzoni mwa mwezi Machi. Fuatilia moja ya blogu yao hapa: Tanzanian Actor Steven Kanumba Was Killed By Elizabeth Lulu Micheals | OMG! Ghana
Habari za msiba wa mpendwa wetu Kanumba zimeenea sana Afrika Magharibi, kuna wachache wanaoamini kuwa marehemu kagongwa na gari. Kanumba alikuwepo nchini Ghana mwanzoni mwa mwezi Machi. Fuatilia moja ya blogu yao hapa: Tanzanian Actor Steven Kanumba Was Killed By Elizabeth Lulu Micheals | OMG! Ghana
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Apr 8, 2012 #2 watajibeba
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 957 Apr 8, 2012 #3 Ni kweli aligongwa na gari... la Lulu