Afrika mashariki ni vibonde!!

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
86
Inamaana Afrika mashariki ni vibonde!! Si Kenya,si Uganda,si Rwanda,si Burundi na wala si Tanzania aliyefuzu fainali za mataifa ya Afrika.Sasa hadi lini tutakuwa tunawashangilia wa Afrika ya Magharibi na Kaskazini? Tatizo ni nini,mbona katika michuano ya mataifa ya Afrika mashariki na kati tunang'aa? Ila tukitoka tu amna kitu? Mwanzoni nilifikiri ni Tanzania tu,kumbe hata majirani zetu nao ni yaleyale. Tafadhari wana Jf nani anayemfahamu mchawi tumuangamize hapa hapa.
NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…