johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndiyo ujue Africa ina viongozi wajinga sn sijui kwanini?Nimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Kwanini kampeni ifanyike China? ๐ผ
Kazi kweli kweli ๐ผ๐Kwa sababu viongozi wa Afrika wote wapo China kwa Sasa.
nadhani ni sahihi na ilikua fursa ya kipekee na jukwaa muhimu zaidi kufanya hivyo, hasa kwa Jumuiya ya Africa Mashariki ambayo tayari imeamua kusimama na Raila, na hivyo basi kutumia kila nafasi kuwashawishi viongozi wengine wa Africa na kanda na kanda zao, kumuunga mkono Raila Amolo Odinga ili apate fursa hiyo muhimu sana kwa manufaa ya EAC na Africa kwa Ujumla ๐Nimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Kwanini kampeni ifanyike China? ๐ผ
Ukipata fursa itumieNimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Kwanini kampeni ifanyike China? ๐ผ
Lazima uvunje barafuWalengwa wamekusanyika hapo.
Wajinga wamekusanyika huko, ni nafasi muafaka kuingiza ujinga hapo hapo! The Africans by David LambNimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Kwanini kampeni ifanyike China? ๐ผ
Hii ni AfricaNimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU. Kwanini kampeni ifanyike China? ๐ผ
---------
View attachment 3087550
- Rais Samia kuhutubia kwenye Mkutano wa FOCAC nchini China