Afrika matajiri wana maisha mafupi sana

Matajiri wengi Africa ni wanasiasa na wanahusishwa na Ufisadi,Rushwa na ubadhirifu wa mali ya umma kwa hiyo hawawezi kufurahia utajiri wao.

Japo sio matajiri wote wana sifa hizo za ufisadi na ubadhirifu ila wengi wapo hilo kundi.
 
 
mekuelewa mkuu.... [emoji848]

nimeongeza kitu thanks..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nataman kuwa mwanasiasa lakn sijazoea unafiki na figisu
 
Hata wenye kipato cha kawaida Africa bado hatujajua kuishi. Vyakula tunavyokula na nyumba tunazoishi ni mbaya sana.
 
Hahaha ungetukumbusha tuwe tuna nunua LIFE INSURANCE kuwapunguzia machungu tunao waacha humu duniani, KIFO NI LAZIMA KWA KILA MTU.
 
Africa mazingira yake ya kisiasa na kiuchumi yanabadilika ghafla sana,muda wowote tajiri unaweza kuwa maskini akiingia mtawala asiyekupenda,lazima matajiri waishi kwa mashaka kama digidigi porini.
Matajiri wengi wa Afrika pia ni wezi walioupata utajiri wao kwa kushirikiana wizi wa mali za umma na wanasiasa na watumishi wa umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikitika mtoa mada hajaweka wazi katoa wap huu ujumbe! hii tabia ya kukop na kupest bila kumshukufu mwandishi husika si sawa. ukizingatia ni mtanzania tena kaandika kwa kiswahili! Hongera zako Luqmanmaloto
Ni kweli kabisa hii ni tabia ya hovyo sana hii
 
nasikitika mtoa mada hajaweka wazi katoa wap huu ujumbe! hii tabia ya kukop na kupest bila kumshukufu mwandishi husika si sawa. ukizingatia ni mtanzania tena kaandika kwa kiswahili! Hongera zako Luqmanmaloto
Mtoa mada ameshindwa kutoa credit kwa mwandishi husika... Na huu ndio uafrika wenyewe wa kukanyagana chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…