Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa
2. Kutolia baada ya kupigwa
3. Kulia bila kupigwa
4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi
5. Kuketi wakati wazee wamesimama
6. Kutembea ovyo mahali ambapo wazee wameketi
7. Kula chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya wageni
8. Kukataa kula
9. Kurudi nyumbani baada ya jua kutua
10. Kula nyumbani kwa jirani
11. Kushindwa pambano la ngumi na mwenzako wa umri wako
12. Kula polepole sana
13. Kula haraka sana
14. Kula sana
15. Kutokumaliza chakula chako
16. Kumaliza chakula chako na kukwaruza sahani yako
17. Kula na kuzungumza
18. Kulala huku wazee ndani ya nyumba wameshaamka
18. Kuangalia wageni wakati wanakula
20. Usipoosha sahani yako baada ya kula
21. Unapoosha sahani yako vibaya
22. Unapovunja sahani ya chakula
Daaa aiseee ila kizazi hiki kipya utasikia ""Dady tusindikize sokoni [emoji16]""
Anyway unahisi ni wazazi wa kizazi kipi ni bora zaidi!?