Afrika tumelogwa na nani?

Wakati vijana milioni mbili wanahitimu masomo ya uhandisi kwa mwaka nchini China Afrika vijana milioni 10 wanakuwa wachungaji kila mwaka- Julius Malema
Africa Dini inalipa cos wengi wanaamini miujiza kwa mambo mengi.
Kupata pesa
Kufaulu mtihani
Kufanikiwa kimaisha.....so Africa tuliletewa Dini ila sisi tumemodify,mi si Muslim ila napenda misimamo ya baadhi ya mambo yao,Ukristo unachezewa sana kwakweli
 
Write your reply...Tatizo ni Sera zetu za kitaifa kuhusu elimu na ajira. Elimu yetu hailengi chochote...katika vyuo vikuu wengi wanasomea kozi ambazo hawajui Kule watakakotuma barua za maombi ya kazi baada ya kufuzu.Viongozi wetu nao wamefilisika kifikra.Ni kama magurudumu yaliyopata panchari.Wanapania mikopo ili kuunda "Ving'aavyo" huku kizazi cha kesho kikizidi kuelekea kusikoeleweka. Serikali inayoagiza suruali za ndani zilizotumika kwingineko kwa watu wake,itabuni vipi ajira?
 
Wakati vijana milioni mbili wanahitimu masomo ya uhandisi kwa mwaka nchini China, Afrika vijana milioni 10 wanakuwa wachungaji kila mwaka- Julius Malema
AhaaH...'Julius Malema sometimes huwa ni chenga na kama hazimtoshi hivi ila huwa namwelewa sana..
Ana very keen sense of logic...aliwahi waambia Affican Union maneno mbofumbofu sana eti kikao cha 'waiga wazungu kuvaa na kunywa'
 
AhaaH...'Julius Malema sometimes huwa ni chenga na kama hazimtoshi hivi ila huwa namwelewa sana..
Ana very keen sense of logic...aliwahi waambia Affican Union maneno mbofumbofu sana eti kikao cha 'waiga wazungu kuvaa na kunywa'
Ana ukweli flani unaochoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…