Kimsingi Technology sio W7 pekee,by the way Afroit ni kwa ajili ya watanzania wote na si forum ya mtu mmoja kaka,Lengo ni kupeana taaluma kwa kila mtu anayefahamu.
Hehehe,kama kawaida yetu watanzania ambapo kila mtu anamlaumu mwenzake,je nani mfanyaji??Mtoa hoja ameona hakuna W7 kwanini hakutoa maada ya window 7 badala ya kulaumu?
Ushauri:Tujifunze kutenda na sio kuongea.Afroit haitafungwa,kufa ama kuteteleshwa,just the matter of timing.Midomo itafungwa na wale wanaotenda na sio kuongea.
Afroit Admin