After 17 years, Bennifer are back in Town

Nimeona watu wamemchamba sana jlo kuwa hawezi lala peke yake
Ila Arod gentleman kabisa angebaki nae tu lizuri kweli
Jlo anapenda wanaume hatari yaani kicheche sema kicheche msafi mwenye hela zake halafu pisi moja matata mi JLo namzimia Hadi Leo tangu enzi zake analiwa na Pdidy

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ila alimvisha pete ya pesa nyingi mno
Nashangaa imekuwaje na walikuwa wanaendana kweli

Dina, yule na wanawake wengine kama yeye, hata Bongo wapo. Ukitaka kuwafukuza tangaza ndoa. Mimi ni mwanaume lakini niko hivyo pía. Sitaki mtu wowote achukue uhuru wangu kwasababu ya ndoa. No I'm going to do that. No.
 
Ndoa ni jela etii [emoji23][emoji23]
 
A-Rod bana...

maisha ya marekani ya ku move on yalivyokuwa faster bado anashangaa!

inaonekana alimboa kweli
 
JLo ameingia kwenye mahusiano mapya mapema mno, she needed some time after her break up with A-Rod to heal. Asipokuwa makini ataumia tena.
Why the rush though??
I like her; I don't want to see her broken hearted again.
labda amekomaa sasa kwenye swala zima la mahusiano!

watoto anao; huenda anataka tu kuwa na mtu ili mradi siku ziende!

maana kakutana na wengi lakini huenda Ben alikuwa anajua 'buttons' za push!
 
Hakuna ajuaye what actually happened between the two. A Rod hili la Bennifer kuibuka tena baada ya miaka 17 baada ya yeye kukorofishana na JLO kwa wiki tu limemuumiza sana A Rod. Anadai hajafunga milango yote kwa yeye kuwa pamoja na JLO na pia wana biashara zao pamoja lakini kama Bennifer wataendelea basi atafunga milango yote na kuhakikisha biashara zao kama partners zinafikia ukingoni.

Namsifu huyo A Rod ana moyo mkubwa sana wa kusamehe sijui kwa vile ni JLO!? Mie mrembo ananifanyia kama haya tukiwa tumekorofishana na tunaongea ili tumalize tofauti zetu na kuendelea na penzi letu halafu anaenda kuvuliwa picchu na ME mwingine ndiyo imetoka hiyo!!!
A-Rod bana...

maisha ya marekani ya ku move on yalivyokuwa faster bado anashangaa!

inaonekana alimboa kweli
 
Ila alimvisha pete ya pesa nyingi mno
Nashangaa imekuwaje na walikuwa wanaendana kweli
Binafsi nadhani JLo sio mtu wa kutulia na mtu mmoja kwa muda mrefu. Ndoa haimfai, na hivi alishaolewa mara nne atakuwa anaona hakuna jipya kwenye ndoa.
 
Huyu naona hawezi kuishi bila kuwa na mahusiano. She has never taken sometime to heal before jumping into another relationship. Yeye anakata mti na kupanda mti. Huenda ndo sababu inamfanya mahusiano yake yawe yanavunjika mara kwa mara
Genye zake ziko karibu sana[emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha warudiane. Ile couple ya Ben na yule Jennifer Garner ilipooza sana.
Yeah...ila wana watoto wawili

Kitu hawajui kwa JLo, ni yule mama ni kahaba, akichoka mbor.o fulani anashift fastaa kwa mwingine, naowashangaa ni hao wanaume kumkubalia mahusiano[emoji849][emoji848]

Ilitakiwa wanaume wote wamsusie mbususu yake, coz ni hit and run wa kike [emoji16]...full kuwaachia stress + maumivu wanaume

Hilo li Ben Affleck nalo zoba kama limemkubalia, lilivyodhalilishwaga vile kipindi cha uchumba mpaka likataka kujiua[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
labda amekomaa sasa kwenye swala zima la mahusiano!

watoto anao; huenda anataka tu kuwa na mtu ili mradi siku ziende!

maana kakutana na wengi lakini huenda Ben alikuwa anajua 'buttons' za push!
Huyo Ben hana mda waja niambia humu humu kwenye huu uzi

Yaan sasa hivi JLo atazungukia mbor.o zote za maex wake mpaka P. Diddy a.ka LOVE atamrudia...

Kicheche JLo ndo zake[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ila JLo huwa haachwi hata siku moja

Hao wanaume zake wote full kumlilia, sijui mbususu yake ina nini[emoji848][emoji848]

Huyo Ben kilaza aliyerudiwa kidogo ajinyonge wakati anaachwa ghafla, leo hii eti linamkubalia, safari hii lazima lijitundike[emoji16]

Huyo Alex watu walishamuonya kuwa achana na huyo Bibi anakupotezea mda hatuliagi na mwanaume mmoja, akajiona yy kidume atamtuliza na hicho kiba[emoji1646] chake[emoji848]

Yule mama ni onja onja sana, umalaya wake hata mwanaume kicheche hamfikii

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…