Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Rao ndo President wa kenya. ndo maana kaanzisha slogan yake. akisema 26/Oct wanajibu no election.Ilivyo ni kama Raila ndo anaongoza Kenya
Hakuna uchaguzi utafanyika tarehe 26 October. Uhuru hajielewi. Pamoja na Loss ya gharama walizoingia so far (ballot papers and other logistics) ni bora busara itumike wakae waongee wakubaliane.Rao ndo President wa kenya. ndo maana kaanzisha slogan yake. akisema 26/Oct wanajibu no election.
We acha hizi propaganda zisizo na msingi.Hakuna mtu aliyempeleka Raila kortini ati ili arudi uchaguzini -walipeleka kesi sababu Odinga hataki uchaguzi ufanyike kinyume na agizo la korti ,pia harrassment ya maafisa wa IEBC kule Nyanza na obstruction ya Jubilee party agents kule Nyanza.After Calling Judges Wakora Uhuru Kenyatta now Takes Raila to The same Court to Force him to participate in next weeks elections
Lmao
[emoji23][emoji23]
Uhuru was busy saying kama Raila amechoka si atoke aende Bondo alale??
Raila akatoka Akaquit race sasa wanamtaka arudi [emoji23]
Yo' wacha niweke tu waziWe acha hizi propaganda zisizo na msingi.Hakuna mtu aliyempeleka Raila kortini ati ili arudi uchaguzini -walipeleka kesi sababu Odinga hataki uchaguzi ufanyike kinyume na agizo la korti ,pia harrassment ya maafisa wa IEBC kule Nyanza na obstruction ya Jubilee party agents kule Nyanza.
WACHA UONGO SOMA HAPO utaona hiyo kesi sio ati Odinga arudi kwa uchaguzi- wacha asusie ni haki yake.
Kweli nyie ni wakora kabisa.Uchaguzi na kupiga kura ni haki ya kikatiba kwa kila mtu ...so who gave you the right to arbitrarily abrogate other people's constitutionally guaranteed rights?Hakuna uchaguzi utafanyika tarehe 26 October. Uhuru hajielewi. Pamoja na Loss ya gharama walizoingia so far (ballot papers and other logistics) ni bora busara itumike wakae waongee wakubaliane.
Thanks for proving you're a hypocrite and your weakness ...that you can't argue on facts cuz that's not what you live for.Mkishindwa hoja kwa ukweli mnaita watu psychos na kulenga hard facts - proving you're not fit to rule Kenya cuz you live for anarchy + arbitrary rules.Yo' wacha niweke tu wazi
Nakulenga wewe psycho wa jubilee na kennedy0000 so do yourself a favour na unilenge pia!!!
Cant argue with psychos!!
Sawa...Thanks for proving you're a hypocrite and your weakness ...that you can't argue on facts cuz that's not what you live for.Mkishindwa hoja kwa ukweli mnaita watu psychos na kulenga hard facts - proving you're not fit to rule Kenya cuz you live for anarchy + arbitrary rules.
Wakora mpaka AnganiKweli nyie ni wakora kabisa.Uchaguzi na kupiga kura ni haki ya kikatiba kwa kila mtu ...so who gave you the right to arbitrarily abrogate other people's constitutionally guaranteed rights?
Mtaenda aje kortini ati kupigania haki uchaguzi urudiwe ilhali huku haki za wengine hamheshimu?
Kaambiwa na nani? CJ wa sasa ni no-nonsense person hanunuliki. Wao wacha waibeee kesi ikija mahakaman na ushahid patanyookaTatizo la Uhuru analazimisha kuwa Rais,ameshaambiwa hata akishinda mahakama itamtupa tu.
Kenya hakutakua bila ya Raila,na uchaguzi na akilazimisha watamwaga sana damu
hehe i pity u,atumtambui railaTatizo la Uhuru analazimisha kuwa Rais,ameshaambiwa hata akishinda mahakama itamtupa tu.
Kenya hakutakua bila ya Raila,na uchaguzi na akilazimisha watamwaga sana damu
Utamtambua tu soon!hehe i pity u,atumtambui raila
Thanks for proving you're a hypocrite and your weakness ...that you can't argue on facts cuz that's not what you live for.Mkishindwa hoja kwa ukweli mnaita watu psychos na kulenga hard facts - proving you're not fit to rule Kenya cuz you live for anarchy + arbitrary rules.