BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Nimefurahishwa na moyo wa wana jf kwenye tukio la mchezaji mwafrika mwenzetu mwamba
naamini kinachooendelea ni maombi yako na yangu ndio yamemfanya hata kumjua shori wake na kumtambua leo hii ukiwa kama ndugu jamaa wa karibu na mpenda michezo naomba uzidi kumwombea mchezaji wetu mwingine abidal anaechezea barca natumaini maombi ya man u real,na mashabiki wa yanga na simba ndio yatakayomtoa pale alipo
mungu wa miungu uimidiwe na uweza wako ukaonekana kwa mwamba na abidal mapito wanayoyapitia