Karibu mzee tuendelee na mechi. Raundi hii Wakenya ndio washindi katika battle. Haswa tangu JF irudi baada ya ban. Akina Geza ulole wamekuwa hafifu. Kwa maswala ya tiles, mkiban tiles zetu tunaban zenu, Uhuru Kenyatta ameerevuka. Sio kama zamani mlikuwa mnaban vitu za Kenya lakini Kenya inaogopa kuban zenu. Sasa hivi mkimwaga ugali, sisi hao tunamwaga mboga, hadi kieleweke.