Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta dawa inaitwa Neo_ medrolHabari waungwana,
Naomba kufahamu aina gani ya after shave nikitumia vipele havitatoka kwenye kidevu? Nimejaribu baadhi naona hazinisaidii..
Habari waungwana,
Naomba kufahamu aina gani ya after shave nikitumia vipele havitatoka kwenye kidevu? Nimejaribu baadhi naona hazinisaidii..
Bei yake nitakuja nami kukuambia AikambePole kwa " mipele " Mkuu. Tumia dawa moja hivi inaitwa AMOL-G ni nzuri sana kwa Vipele vya Kidevuni na vile vya Kichwani vinavyotoka baada ya Kunyolewa. Itafute upesi tafadhali ila ukipona usisite kurudi humu kunishukuru kwani hata Mimi nilimshukuru aliyenitajia hiyo dawa hivyo tuendeleze tu chain ya Kushukuru ukisaidiwa. Kila la kheri!
Bei yake nitakuja nami kukuambia Aikambe