game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
As It was said, mtegemea Cha Nduguye Hufa masikini, wasomali wamekacha ule mradi wa Jengo refu lililodhaniwa lingekuwa jengo refu Zaidi Africa kwa wakati ule,
Mradi huu uliopigiwa kelele na hawa majirani ambao ni mashabiki kindakindaki wa Mali za wageni katika nchi yao huku wao wakibaki mafukara wanaozungumza kingereza na kuvaa Makoti ya suti oversize za Mitumba kwenye viunga vya mji wa Nairobi. Fakery. Hata hivyo tayari majengo marefu mengi zaidi yameshazinduliwa na Mengine yanaelekea Kukamlilika nchini Misri na Africa Kusini.