Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifatilia shows mbalimbali za redio zinazoendeshwa mchana,lakini mpaka sasa xxl ya cloudsfm imebaki kuwa show bora zaidi za zote angalia mpangilio wa kipindi b dozen alivyokipangilia akiwa na kennedy the remedy co host bila kumsahau adam mchomvu ndani ya hot3@3 pamoja na kale kadada kembamba mamie kuna yule wa michezo james tupatupa na perfect.Hakika hii ni show bora zaidi kwa sasa