Unamaanisha nini baba kiki..au tayari umepata kiki
Hofu yako tu..na niwewe tu ndo wajua hicho kitu kisichokuwa sawa. Usijumlishe na mim
Umekubali yaishe au umeamini kilichopo?
Nime quote nini sasa?Acha kukoti basi aisee
Siyo ktk mazingira ya aibu kama vile
Haukupiga picha?Post wewe ukweli basi tuuone! Unless hujitambui.
Labda mambo mengine ika si kugongwaWatu mnapenda kushuhudia subiri na nyie mtashuhudiwa
Ofisi yao siyo kama yenu usikaririPOST KAM HIZI NYINGI SANA JF HALAFU NYINGI ZA UONGO NI STORY KAMA ZA KINA SHIGONGO,,,,,,,ET AKAITA STAFF TUSHUHUDIE,, AKAMPIGA PICHA AKAONDOKA,,,,, kitendo cha yeye kutoka kwenda kuwaita hao staff ni lazima tendo linakuwa limeisha na kuvaa nguo zao labda kama walinasana.
Picha ya boss muhuni??..Yeah ningepiga..Zen kesho ndo itakuwa fimbo ya kumchapiaHivi ungekuwa wewe ungeweza mpiga picha boss wako? Hata hivyo ni sawa kurusha picha za staff wenzio za fumanizi?
Kama huamini hakuna shida mim nilipost kushare nawenza kilichotokea si kutaka kila mtu aamini.