Afumwa akifanya mapenzi ofisini

duuu monica nitumie hizo picha ulizopiga eneo la tukio
 
Wengi hawatakuelewa ila wengine tumekuelewa. Inaonyesha unajielewa, I wish watu wote tungeelewa hivyo
Siwezi tangazia umma kama bado nampenda coz utaonekana kituko tu
Ila kama nna nia ya kumuacha basi ndo anakuwa amenipa sababu ya kutokea hapo
But most of the time mtu unakuta katendwa wakati bado anapenda na anaamua kuvunja ndoa na maumivu yake juu
Sometimes ukitulia ukiassess vizuri ukute wewe ndo chanzo pia cha mwenza wako kusaliti afu unakurupuka kufumania na kuacha
Mtu usifumanie kwa mazoea coz everybody does that,angalia hitaji lako la moyo na heshima yako mbele ya jamii na ulitimize hilo,
Kama huyu mfano wana watoto kafumania mke kanywa sumu hivi watoto unawajengea nini..?aibuu tupu hata hio ofisi, hivi ungekaa nyumbani si wangemaliza wakaendelea na kazi likapita??
 
Upo sahihi na mimi kila siku nazungumzia haya kwa vile yalinikuta na nikasamehe ingawa sitasahau. Kwanza kitendo cha mwenzi wako kucheat na bado yupo beneti na wewe inaonyesha wewe ni muhimu kwake kuliko mchepuko wake la sivyo angaliondoka aishi kwa raha zao wote. Pili assesment ni muhimu katika ndoa, je akiondoka nini kitakuwa nini. Aidha ukimwona anacheat lazima ujiulize mapungufu yako naye akueleze sababu zake kucheat akiwa muwazi utasema tu na mwangalie jinsi ya kuyatatua. Mfano huwezi kuila k kisawasawa kama jamaa hapa JF anadai anapakwa shombo. Kama binadamu itabidi ahanje (unajua UH ni hatari). Ingawa wengi akinamama wanarushwa roho kuwa mumeo ana mchepuko na wewe kwa nini usitafute na pengine wanamtafutia, kulipiza kumeleta haya mahagaiko ya moyo.
 
Yaani mwizi wake kamuacha hivihivi?.why?angemkata hata korodani kidogo!.
 
Watu wengi hawaelewi kwamba kuwa muwazi kwa mwenza wako ni vizuri sana, kwa nn umfiche? Usipomwambia yeye ukamwambie nani?
Ni hivi kama yeye haoni tabu kunambia nataka tena why should I? kwanza ukimwambia ana jisikia raha kua service yake
inakubaliwa nakupendwa,na huzidisha mapenzi na ukaribu wakuweza kuambizana chochote kwenye maisha...
 
Ni hivi kama yeye haoni tabu kunambia nataka tena why should I? kwanza ukimwambia ana jisikia raha kua service yake
inakubaliwa nakupendwa,na huzidisha mapenzi na ukaribu wakuweza kuambizana chochote kwenye maisha...
Vizuri sana, kuwa muwazi inapendeza sana na kama mmoja anatatizo mnalijadili na kuona jinsi ya kulitatua
 
Ni hivi kama yeye haoni tabu kunambia nataka tena why should I? kwanza ukimwambia ana jisikia raha kua service yake
inakubaliwa nakupendwa,na huzidisha mapenzi na ukaribu wakuweza kuambizana chochote kwenye maisha...
Every one of you have a part to play, don't ignore your responsibility.
 
Hizi ndoa zisikie tu humo vyumbani, ukute dada wa watu hajawahi kojoleshwa tangu ameingia ndoani na mbaya zaidi gunzi lenyewe kibamia....akiguswa tu ashajikojolea!!! Omba Mungu sana.
Walioana bila kuonjana? Inakuwaje mtu aolewe na mtu asiemfikisha kwa zama hizi za kuzini miaka saba then ndo kuoana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…