Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Jun 11, 2019 #61 Davet said: Hahah! Watu wana mapenzi ya dhati na timu zao, kwahiyo jamaa akawa anaitwa Manchester United? Click to expand... Ndiyo jina lake, mahakama ilipitisha.
Davet said: Hahah! Watu wana mapenzi ya dhati na timu zao, kwahiyo jamaa akawa anaitwa Manchester United? Click to expand... Ndiyo jina lake, mahakama ilipitisha.
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 Jun 12, 2019 Thread starter #62 Si umeelewa lakini..... FaizaFoxy said: Nilipolisoma bichwa lako la habari nilifikiri kaoana na jezi. Kumbe kafunga ndoa akiwa amevaa jezi. Punguani Wahed. Click to expand...
Si umeelewa lakini..... FaizaFoxy said: Nilipolisoma bichwa lako la habari nilifikiri kaoana na jezi. Kumbe kafunga ndoa akiwa amevaa jezi. Punguani Wahed. Click to expand...