Afungwa jela Miaka 4 Kwa Kosa La Kuvua Kondom Katikati ya Mechi Ya Tendo

Sheria iko wazi, ukivunja makubakiano lazima uwajibike.

Sema tu huku watu hawajui haki zao, jitu linadanganya msichana wa watu ati litaweka kicha tu afu linafumbukiza lote, kisheria hilo ni kosa, kuvunja makubaliano.

Jitu limevua condom katikati ya tendo, dada wa watu akipata mimba anafanyaje? Kama hakuwa tiyari kubeba mimba? Magonjwa je?

Nadhani kibongo bongo watu wanaona aibu lakini mnalitambua sana kuwa kuvunja makubaliano muliyo yakubaliana kabla ya teno ni kosa, sasa endeleeni kuogopa.

Wacha huyo akanyee debe apate adabu.
 
Asa wataka iwekwe kichwa tuh icho kiwiliwili kibaki wapi ,
 
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…