Afungwa kwa kumnyonya ulimi mwanafunzi

Haya ndiyo madhara ya kuangalia sinema za X. Sasa watoto wote 7 hao bado tu anakwenda kumbaka mtoto wa miaka 13 sawasawa na binti yake? Udhaifu mwingine huu.
 
Miaka 30 kwa kosa gani?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sasa Chama kinahusikaje hapa?? Wewe Gamba nini?
.....Mkuu siku hizi uanachama wako katika chama cha siasa ndiyo unaonyesha kama jambo ulilofanya ni halali au la.........wanachama wenzako watakutetea bila kujali umefanya nini.....na wapinzani wako watakushindilia bila kuangalia jambo lenyewe.....:shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…