Mahakama wilayani Sumbawanga imemtia hatiani bwana Cosmas Mafuru kwa kosa la kuanzisha Chuo fake,bwana Mafuru mwenye umri wa miaka 50,alituhumiwa kwa kosa la kujiita Mkurugenzi wa Chuo Cha Uandish wa Habari cha Dar es Salaam City College tawi la sumbawanga,ambapo Cosmas alikua akigawa vyeti fake.pia alikua akikusanya pesa,mahakama ilipomkuta na hatia ilimhukumu miaka 490 jela
sosi:HABARI LEO LA 18.12.2011
sosi:HABARI LEO LA 18.12.2011