Wamemuonea kabisaaa.je walioifikisha nchi hapa ilipo kwa kuifisad je?Wanakula raha kama kawaida..,
si bora waseme wamemfunga maisha mtu ana miaka 50 halafu anafungwa miaka 490 sheria za kibongo bwana au kafungwa miaka 4.90. Nashut down fasta
Sasa Ndio napata picha Duniani hakuna usawa kabisa ni bora yeye na elimu katoa but kuna mafisadi wanatufukc na wanadunda hakumu aliyemukumu ni ***** zake na ukoo wake wote.
Huyo hakimu nae atakuwa anataka sifa tu miaka 490?yaani imepitiliza mpaka umri wa uhai wake du hii ni kali.
Huyo hakimu nae atakuwa anataka sifa tu miaka 490?yaani imepitiliza mpaka umri wa uhai wake du hii ni kali.
nilipoisoma hii hbr nikajiulza je wanaofoj vyet vya elim na kujiita madokta wa phd?