Sasa tunahukumiwa hakim akiamua au ijapokuwa sifagilii milegezo,na vp kuhusu wanaovaa heren huku wakiwa ni wanaume nao pia wanakiuka coz nanukuu huyo akim"huu sio utamaduni wa mwafrika"je na huu wa kuva heren n utamadun wa mwafrika la msingi kama kuna mdau mwenye kifungu cha sheria kinachohusiana na haya akiweke mezani