Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Serikali ya kisiwa cha Guam imesema kuanzia mwezi January mwaka 2015 haitampokea mfungwa yeyote atakaefungwa kwa makosa mengine tofauti na uchochezi kutokana na magereza nchini humo kuzidiwa na msongamano wa wafungwa wa makosa ambayao hayaiathiri serikali moja kwa moja.
Aiza serikali kisiwani humo imewaagiza mahakimu kutowapatia adhabu za kifungo gerezani wale wote kwenye makosa yasiyoiathiri serikali moja kwa moja na hakimu atakayekiuka agizo hilo atalazimika kumfungia mtuhumiwa nyumbani kwake muda wote wa kutumikia kifungo chake
Aidha mtu mmoja ambaye alikuwa amebakiza dk chache kuhukumiwa kifungo cha miaka 39 jela kwa kosa la unyanganyi amelazika kuachiliwa huru kutokana na agizo hilo