Haiyaaaaa wale wavuta subiraa msijali kwa kuwa j3 mpango mzima!
Wanasubiri tu sign kutoka kwa waziri then wanayatoa.
Acha kuwazingua vijana wewe ni nani huko wizarani?
Haya yaleyale!
Haiyaaaaa wale wavuta subiraa msijali kwa kuwa j3 mpango mzima!
Wanasubiri tu sign kutoka kwa waziri then wanayatoa.
Jaman naombeni 2we 2natoa taarifa zenye uhakika na zngatia chanzo cha habar zenu wazií!