Nafikiri ni imetokea tu balaa haitabiriki ila Bahati anayo hela ya kutosha sielewi nini kimemfanya asafiri na hizi mnazosema IT.
Huwezi mfananisha na Flora Mbasha hata kidogo. Muwewe fuska alimtesa sana huyu dada Bahati. Ilifika mahali mumewe akawa anatembea hadi na marafiki za Bahati na mara ya mwisho alimtia bidada mmoja mimba na magazeti yaliandika sana. Bahati alikonda sana na sasa afya imerudi na kuzidi baada ya kutengana na mumewe. Nimeipenda nyumba yake. Pongezi dada na alipo Dan basi atizame picha hizi ajiulize ukuu wa Mungu.
Hiyo ni kwa mujibu wa vitega uchumi vyake sasa na wewe unavyobisha ina maana umekosa akili ya kufikiria tu Bahati anauza copy kiasi gani kutokana na mziki wake ukiachia mbali miradi yake.Wewe ndiye wallet yake kuthibitisha hiki unachokisema?
una ushahid gani Bon mwai anagegeda bukuku?
Yawezekana anakugegedea dadako?
Usishabikie usiyoyajua wewe?
Kojoa ukalale,waache walokole watuombee kwa Mungu.
Una upungufu mkubwa wa akili kama maji jangwani. pumbavu wewe. jiheshimu.una ushahid gani Bon mwai anagegeda bukuku?
Yawezekana anakugegedea dadako?
Usishabikie usiyoyajua wewe?
Kojoa ukalale,waache walokole watuombee kwa Mungu.
Bon Mwaitege anakula mzigo mkuu
Tumia akili basi japo mara moja-moja.
Mungu amekusamehe,najua wewe ni wa upande mwengine,.
Bahati Mungu alikuwa anakuonya na rushwa toka kwa Makamba,na wale wote waliochukua warudishe
una ushahid gani Bon mwai anagegeda bukuku?
Yawezekana anakugegedea dadako?
Usishabikie usiyoyajua wewe?
Kojoa ukalale,waache walokole watuombee kwa Mungu.