SoC04 Afya bora Kwa vijana bora wa taifa la kesho inawezekana

SoC04 Afya bora Kwa vijana bora wa taifa la kesho inawezekana

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Taifa Lina hitaji nguvu kazi na nguvu kazi vijana wanali hitaji taifa pia kuonyesha uwepo wetu

Ili taifa liendelee linahita vijana wenye afya Bora na sio Bora afya je nn kifanyike vijana wabaki kuwa na afya Bora na wananchi wengine pia

Vifuatavyo vizingatiwe.
Vijana wafanye mazoezi mara Kwa mara maana mazoezi n Tiba Kwa mtu yoyote yule Kwa hiyo ni vizuri seriKali na vyombo vya habari vikawa mstari wa mbele kuhamasisha ufanyaji mazoezi Kwa vijana wake ndani ya taifa.

Ziwepo checkup ZeNye wataalamu wa afya za binadamu za kudhaminiwa na serikali:hii itaongeza hali ya kuwajenga vijana wa kesho kwenye taifa wanao zitambua afya yao ya mwili tofauti na sasa vijana wengi hawazitambui afya zao kiundani sana matokeo ndio kama muonavyo wanakufa kama kuku

Tuhamasishe ukaji mlo kamili Kwa vijana: vijana wengi Milo yao hawazingatii Milo kamili wao nikunywa kunywa makemikali y kiwandani Kuna kijana mwaka unaisha maziwa hajanunua anywe ila kemikali ana kunywa kila Leo ni vizuri pia vyombo vya habari vikawa vinatoa elimu za umuhimu wa chakula Bora Kwa vijana Kwa faida ya kujenga vijana Bora wa faida ya miaka mingi kwenye taifa.

Tutoe elimu ya matumizi ya vitu mabaya ya Moshi kama bangi na sigara,shisha elimu itolewe vijana kuacha kutumia vitu vya Moshi sana sababu vinaenda kuathiri afya zao ndani na matokeo yake tutakuwa na taifa lenye vijana lukuki wenye matatizo yaliyo tokana na utumiaji vitu vya moshi Moshi mwingi

Tupige vita ngono zembe Kwa fujo ngono zembe zimeharibu watu na kupoteza nguvu kazi kutokana na magonjwa Kam ukimwi na mengineyo ni vizuri kila mtu awajibike kuwapa vijana darasa la faida ya kutunza afya yake kiujumla iwe faida Kwa taifa na familia yake.

Taifa Bora la miaka kumi mpka 20 likijengwa vizuri Leo hii Kwa msingi imara kesho tutaishi muda mrefu tukiwa hatuna magonjwa nyemelezi ya mara Kwa mara katika miili yetu.

Taifa lenye afya Bora inawezekana

Taifa Bora lenye vijana wenye afya Bora kw miaka kumi ama 20 inawezekana tukishirikiana Kwa umoja kuamua kufanya mapinduzi ya fikra Hadi ya kufuata life style badala ya kanuni za kujali afya zetu.


.
 
Upvote 2
Tatizo vijana nao ni wabishi sana. Angalau mazoezi wanajitahidi kufanya, lakini hivyo vingine ni mtiti.


Tunaweza kuweka huduma zote na wakazikacha. Wakakataa kupima, wakajilia wanavyojisikia na kuhusu ngono hahaaaaah 😆😄😄....... kajaribu kuwashauri uone.

Lakini tutafika tu. Elimu inaendelea kuwaingia mdogomdogo Taifa linajengeka kulingana na uzoefu tunaopitia. Ahsante kijana kwa insha nzuri ya ukumbushho
 
Tatizo vijana nao ni wabishi sana. Angalau mazoezi wanajitahidi kufanya, lakini hivyo vingine ni mtiti.


Tunaweza kuweka huduma zote na wakazikacha. Wakakataa kupima, wakajilia wanavyojisikia na kuhusu ngono hahaaaaah 😆😄😄....... kajaribu kuwashauri uone.

Lakini tutafika tu. Elimu inaendelea kuwaingia mdogomdogo Taifa linajengeka kulingana na uzoefu tunaopitia. Ahsante kijana kwa insha nzuri ya ukumbushho
Ngono inaua ndoto aisee mtu anaweza asielewe ila ukimwi usio tibiwa hautakuacha salama kaswende,kisonono vikiku tafuna ndoto kwisha hujasema kisukari baba lao. Ni wakati wa vijana tutunze afya Kwa gharama yoyote ile Kwa ndoto zetu za kesho
 
Back
Top Bottom