hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Taifa Lina hitaji nguvu kazi na nguvu kazi vijana wanali hitaji taifa.
Ili taifa kiendelee linahita vijana wenye afya Bora na sio Bora afya je nn kifanyike vijana wabaki kuwa na afya Bora na wananchi wengine.
Vifuatavyo vizingatiwe.
Vijana wafanye mazoezi mara Kwa mara mana mazoezi n Tiba Kwa mtu yoyote yule Kwa hiyo ni vizuri seriKali na vyombo vya habari vikawa mstari wa mbele kuhamasisha ufanyaji mazoezi Kwa vijana wake ndani ya taifa.
Ziwepo checkup ZeNye wataalamu wa afya za binadamu za kudhaminiwa na serikali:hii itaongeza hali ya kuwajenga vijana wa kesho kwenye taifa wanao zitambua afya yao ya mwili tofauti na sasa vijana wengi hawazitambui afya zao kiundani sana matokeo ndio kama muonavyo wanakufa kama kuku
Tuhamasishe ukaji mlo kamili Kwa vijana: vijana wengi Milo yao hawazingatii Milo kamili wao nikunywa kunywa makemikali y kiwandani Kuna kijana mwaka unaisha maziwa hajanunua anywe ila kemikali ana kunywa kila Leo ni vizuri pia vyombo vya habari vikawa vinatoaa elimu za umuhimu wa chakula Bora Kwa vijana Kwa faida ya kujenga vijana Bora wa faida ya miaka mingi kwenye taifa.
Tutor elimu ya matumizi ya vitu vya Moshi kama bangi na sigara,shisha elimu itolewe vijana kuacha kutumia vitu vya Moshi sana sababu vinaenda kuathiri afya zao matokeo yake tutakuwa na taifa lenye vijana lukuki wenye matatizo yaliyo tokana na utumiaji vitu vya moshi Moshi.
Tupige vita ngono zembe Kwa fujo ngono zembe imeharibu watu na kupoteza nguvu kazi kutokana na magonjwa Kam ukimwi na mengineyo ni vizuri kila mtu awajibike kuwapa vijana darasa la faida ya kutunza afya yake kiujumla iwe faida Kwa taifa na familia yake.
Taifa Bora la miaka kumi mpka 20 lilijengwa vizuri Leo hii Kwa msingi imara kesho tutaishi muda mrefu tukiwa hatuna magonjwa nyemelezi ya mara Kwa mara katika miili yetu.
Taifa lenye afya Bora inawezekana
Taifa Bora lenye vijana wenye afya Bora kw miaka kumi ama 29 inawezekana tukishirikiana kuamua kufanya mapinduzi ya fikra Hadi ya kufuata life style badala ya kanuni za just afya.
.

Upvote
3