FARAJI ABUUU
New Member
- Jul 15, 2021
- 3
- 0
Ili tuweze kutengemaa katika nyanja mbalimbali za kijamii,uchumi,siasa elimu,kilimo, biashara,utawala bora inabidi tuangalie kile ambacho ndio msingi wa kutengemaa. kwa maana hiyo ni lazima kuchukua kila sababu za kulinda na kutetea msingi huo.
Msingi huo ni afya, pale afya inapoyumba kwa mtu mmoja au katika jamii ni kikwazo tosha kwa huyo mtu au jamii hiyo katika kila nyanja. kwa mfano ugonjwa wa corona ulivyokuwa unaingia katika jamii tofauti za watu ulizorotesha kila kitu kwa namna moja au nyingine kwa sababu umegusa kitu msingi ambacho ni AFYA.
NINI KIFANYIKE ILI AFYA ZETU ZIWE SALAMA?
1- kila mmoja wetu atambue afya ndio kila kitu katika maisha yake.
2-kila mmoja afahamu vile vinavyo imarisha na kujenga afya miongoni mwa vyakula bora na sio kutosheka kuvifahamu tu! avitumie kuimarisha na kuijenga afya yake
3-kila mmoja afahamu vile vinavyo haribu afya na kuviepuka vyakula vibovu vinavyo sababisha magonjwa na kuzorotesha afya
4-utunzaji wa mazingira nayo ni sehemu ya afya pale mazingira yanapokuwa machafu yanakuwa si rafiki kwa afya ya binadamu.
Uchafu wa mazingira unawaza kusababisha magonjwa ya milipiko(epidemic) kama kipindupindu na mengineyo.
5-kila mmoja kufahamu magonjwa mbalimbali nyemelezi na ya kuambukiza pia kujikinga na kuchukua tahadhari kwa mujibu wa wataalam wa afya
6-serikali kupitia wizara husika ina wajibu wa kuhakikisha kila mwanchi wake kuwa na afya salama kwa kutoa huduma zinazo mfikia kila mwanchi bila kujali mahali alipo na kurahisisha kila njia ya kufikiwa na huduma ya afya na elimu ya afya.

Upvote
1