Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu.
Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa Tanzania unakuta kwenye masoko adimu sana.
Tatu ni wapenzi wa viungo ukilinganisha na Tanzania yani viungo mpaka harusi au sikukuu.
Mwenye kuelewa