chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Kupitia tovuti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii kwa taarifa muhimu za kujiunga na chuo ambazo zilitakiwa zitumwe kwenye masanduku yenu lakini utaratibu ukabadilishwa!!
Taarifa hizi zitawekwa leo siku ya Ijumaa,.
Tovuti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii: www.moh.go.tz
Nawatakieni maandalizi mema!!
Taarifa hizi zitawekwa leo siku ya Ijumaa,.
Tovuti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii: www.moh.go.tz
Nawatakieni maandalizi mema!!