Hadi saa hizi(KIMYAAA)
mkuu kwa taarifa ambazo bado sijazithibitisha ni kwamba majina ya waliochaguliwa tiyari yameshapelekwa kwenye vyuo husika hivyo usipoteze muda kusubiria tamko au taarifa kutoka wizarani,.
Wahi chuoni na taarifa zote muhimu ambazo ulipaswa kuzijua kabla ya kuripoti chuoni utazijua hukohuko!!
Kitengo cha mawasiloano mnatia aibu sana kushindwa kutoa taarifa za wazi kwa wanafunzi!!
Mnawajengea mazingira magumu sana!!
Poa ngoja niwahi mie.
wadau nimeona wa2 wengi walochagulia koz mbal2 za afya wamepata sponsor ya government,,
naomben msaada wa procedures za kuomba huo mkopo,,ni km za vyuo kupitia bodi au ni zipi???
p'se msaada
thnx