Afya ya Adui wa Watu wa Gaza Yazorota,Kufanyiwa Upasuaji.

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Huyu bwana Netanyahu amekuwa alifanya maamuzi mabaya bila shaka ni Kutokana na Kuzorota Kwa Hali yake ya kiafya kiasi kwamba amekata tamaa ya maisha hivyo kupelekea kufanya maamuzi yanayoleta maafa,ana ugonjwa wa akili.

Mojawapo ya Hali tete za kiafya zinazomkabili bwana huyo ni ;

-Anaumwa busha (Ngiri,hernia)
-Anaumwa Tezi dume
-Anaumwa Moyo (pacemaker) Ina msaidia
-Ana shida za upumuaji

Swali.
Hao watu wa Israel wamekosa watu wengine Hadi kumchukua mgonjwa wa akili ndio kuwa PM?

View: https://www.instagram.com/p/DEMbLH1tGDL/?igsh=dXJ3bjI0c2VpNjBo
 
Nikuhakikishie huyo utakufa wewe yeye utamuacha mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…