Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Ubongo kazi yake Nini? Roho na nafsi hukaa wapi ktk mwili wa binadamu? Na hiyo akili inapatikana wp? Je, Ubongo usipokuwepo nafsi/akili na roho vinaweza kuendelea kuwepo na vikafanya kazi? Haya ni mambo ya kufikirika tu. Hakuna roho Wala nafsi unayofikiri inahifadhi akili. Ukitaka kujua hivyo vitu havipo, kabla hujasoma kwa kina kazi za ubongo, jaribu kuharibu ubongo kdg tu ht kwa kutumia madawa ya kisasa uone km hiyo roho, cjui nafsi vitakuwepo. Ubongo ndiyo una hivyo vyote unavyofikiri vipo pembeni cjui labda tumboni au moyoni.Afya ya akili-Usomaji wa vitabu
Afya ya mwili-Lishe bora na mazoezi
Afya ya roho-soma kitabu chako cha imani, maombi, dua na kushiriki na ibada.
SIMPLIFIED.
Kuongezea iko tafauti ya ubongo na akili. Ubongo upo ndani ya mwili.
Akili ipo ndani ya nafsi.
Let me simplify it.
Mtu anaundwa na vitu vitatu.
1.Mwili-Ubongo upo hapa
2.Nafsi-Akili iko hapa
3.Roho--Maono yapo hapa.
From that utatu ndiposa afya ya akili inatibika.
So simple.
Nani ana shid ya afya ya akili nimsaidie bure atoe ushuhuda?
Swali zuriSoul(Roho) huwa inakaa wp kwenye body?
kutapatapa kwa Nafsi ni dalili moja ya kuwa na tatizo la akili pili kukosa focous wakati unafikiri unajikuta unawaza mambo mengi Ndani ya wakati mmoja ukitaka kuelewa vizuri haya mambo mtafute mtu anaitwa munno na yoga love tik tok wapo vizuri sana kwenye haya mambo utajifunza realease,meditation na manifestationNitajuaje Kama nina tatizo la akili?