SoC04 Afya ya Figo, Ini na Moyo

SoC04 Afya ya Figo, Ini na Moyo

Tanzania Tuitakayo competition threads

azithromycim

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
288
Reaction score
714
Serikali imekua ikiwekeza nguvu katika tafiti za madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink), Tiba asilia na Matumizi ya pombe katika afya ya Figo, Ini na Moyo. Matumizi mabaya ya Dawa yanaathari kubwa katika afya ya Figo, Ini na Moyo.

Je, Madaktari wana waandikia wagonjwa Dawa sahihi ? Je, wagonjwa wanaelezwa madhara madogomadogo yatokanayo na Dawa walizopewa? Je, wauzaji wa dawa wanafata miongozo ya afya? Wagonjwa wamekuwa wakitumia Dawa bila ya kufuata maelekezo ya wataalam wa afya hawazingatii tena muda wa dawa, hawamalizi dozi pia hawazingatii matumizi ya maji na lishe pindi wanapotumia Dawa.

Matumizi ya Dawa za dharula (post exposure prophylaxis) kwa kujikinga na virusi vya UKIMWI na Mimbai (P2) sasa zinatumika vibaya na kiholela mtaani bila ya kufuata utaratibu wa afya.

Dawa za antibiotiki. Dawa za maumivu, Dawa za kuzuiya mzio, Dawa za fangasi zinauzwa kiholela kwenye Maduka ya Dawa kama pipi bila ya kufuata miongozo ya afya.

Haya yote yanaleta matumizi Mabaya ya dawa ambayo yanamadhara makubwa kwa afya ya Figo, Ini na Moyo.
 
Upvote 2

Umeamua kutuachia maswali homework. Njoo umalizie broh tunasubiri
 
Back
Top Bottom