majany JF-Expert Member Joined Sep 30, 2008 Posts 1,223 Reaction score 585 Oct 7, 2012 #1 Jamani nafahamu kwamba kongosho ni organ mahsusi katika kutengeneza 'insulin' ambayo hutumika ku'regulate sukari mwilini.Je mambo yepi hufanya hiki kiungo muhimu kuishi muda mrefu huku kikifanya kazi zake sawasawa....!!
Jamani nafahamu kwamba kongosho ni organ mahsusi katika kutengeneza 'insulin' ambayo hutumika ku'regulate sukari mwilini.Je mambo yepi hufanya hiki kiungo muhimu kuishi muda mrefu huku kikifanya kazi zake sawasawa....!!