Afya ya meno

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Dawa zote za meno za kiwandani zina pombe kiwango cha kati 20% 25% [emoji16]

Tumia maji ya uvugu vugu yenye limao kusafisha meno yako na backing soda ( magadi ) kila asubuhi.

Karibuni kula wakuu
 
Mara kula Mara kusafisha njino mzee gusa point yako kaka miruzi mingi humpoteza mbwa
 
Shida zote za nini hizo kuchanganya changanya mavitu unaweza jikuta unatengeneza toxic acid aghaa!! 😀
 
Haina madhara? Isije ikawa badala ya meno kuwa safi unajikuta meno yote yanamwagiga
 
Tumia Hydrogen Peroxide 3%


Kwa kuua vijidudu vinavyotengeneza ukoko kwenye meno na kuharibu fizi.



H2O2 inatosha na Ni Bei rahisi.


Kisha utatumia Baking soda kufanta yawe meupe.


Ukimaliza kula safisha kinywa.



Kama Hali ya meno Ni mbaya tembelea tabibu wa meno twice a year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…