Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ndugu kwa kunipa msaada wa haraka.
kwa nyongeza tu pale MNH nenda jengo la wazazi utakuta kinamama wengi pale wewe usiongee nao nenda moja moja kwenye dawati la nesi muulizie njia za kuweza kuwaona hao watalaam na ukisema tatizo ni la kiume basi watakusaidia kwa haraka zaid.
nadandia uzi na je uzazi kwa wanawake?
waone hao hao hasa prof Kaisi namwamini sana