Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Jaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
Acheni kuwapa watoto maziwa ya kopo, zile ni kemikaliTafuta maziwa S26 au zaidi special kwa watoto wanaokosa maziwa kwasababu tofauti kutoka mama zao
Yapo kwa umri tofauti
Npo mbeya ntazifuatilia mkuu! nimekukubali kwa ushaur mzuri!
Acheni kuwapa watoto maziwa ya kopo, zile ni kemikali
Ya kopo siku hiziJaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
Lishe ni muhimu sana, na pia akiwa anapata sato mchemsho ile fresh itamsaidia, ila kama shemeji yetu anapenda usasa, hiyo yote haitasaidia, mtafutie tu maziwa ya kopo umnusuru mtoto. Mother Confesssor nimeongezea tu kwako mkuu.Mpe uji wa pilipili manga hakika yatatoka,.
Nb:tatizo likizidi mpeleke hospital,.
Ondoa shaka mkuu...!!!Lishe ni muhimu sana, na pia akiwa anapata sato mchemsho ile fresh itamsaidia, ila kama shemeji yetu anapenda usasa, hiyo yote haitasaidia, mtafutie tu maziwa ya kopo umnusuru mtoto. Mother Confesssor nimeongezea tu kwako mkuu.
comment yako imenifanya nikuone wa pekee sana,hawa wadada form four leavers Sana shida saba,yuko tayar mtoto afya itetereke kwa kutonyonya ipasavyo wakizingatia matiti yasilale,aiseee nilizama kwa CO nikiwa nimechafukwa nikaomba ruhusa nikaeleweka nikapata siku 21,pale home ilibid niwe taahira kidogo kueleweka,mbele ya mama mkwe nilipageuza pale home ni depo,nilipoeleweka kuwa Dogo nataka anyonye maziwa ya mama kwa gharama na hali yoyote nilishangaa maziwa yamekuwa mengi kwa mama bila kutumia dawa yoyote ile,hongera sana rafiki yangu,unajielewa ad nimekupenda asee