Afya ya uzazi

Afya ya uzazi

jodah

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
5
Reaction score
0
jamani naomba kama kuna mtu mwenye uelewa wa aya mambo anisaidie.hivi mwanamke ambaye siku zake za mzunguko ni mchanganyiko yani hauna tarehe maalum,tofauti na tulivyozoea siku 28 siku zake za kupata mimba ni zipi.nisaidieni
 
Mods wa jukwaa hili, naomba muitendee haki hii thread kwa kuihamishia kule Jamii Doctors.
 
Back
Top Bottom