J jodah Member Joined Jan 20, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Apr 5, 2013 #1 jamani naomba kama kuna mtu mwenye uelewa wa aya mambo anisaidie.hivi mwanamke ambaye siku zake za mzunguko ni mchanganyiko yani hauna tarehe maalum,tofauti na tulivyozoea siku 28 siku zake za kupata mimba ni zipi.nisaidieni
jamani naomba kama kuna mtu mwenye uelewa wa aya mambo anisaidie.hivi mwanamke ambaye siku zake za mzunguko ni mchanganyiko yani hauna tarehe maalum,tofauti na tulivyozoea siku 28 siku zake za kupata mimba ni zipi.nisaidieni
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Apr 5, 2013 #2 Mods wa jukwaa hili, naomba muitendee haki hii thread kwa kuihamishia kule Jamii Doctors.