SoC01 Afya yako ndiyo itakufanya utimize malengo yako

SoC01 Afya yako ndiyo itakufanya utimize malengo yako

Stories of Change - 2021 Competition

Edychristian

New Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Kwanza kabisa niseme asante kwa kuchukua muda wako kusoma thread hii ukimaliza unaweza weka maoni yako na ku vote ili niweze kushinda.
Afya yako ya leo hii ndio chanzo kikubwa cha wewe kufikia malengo yako ,Sayansi mara nyingi haidanganyi kivipi? kipindi kizuri na kipindi kibaya sana kwa mwanadamu yoyote ni kipindi chake cha Ujana.

Kipindi hikini kipindi cha wewe Kujenga au kubomoa afya yako ya mwili ambayo itakusaidia wewe kufikia malengo yako kwanini?
ona maswali haya

1.Ushawahi kuona kijana wa miaka 23 anaonekana kama kijana wa miaka 30? Na umeshawahi kujiuliuza kwanini?
Sikia nikwambie,....Sababu kuu ni aina ya vyakula vya sasa kadiri siku na miaka inavyozidi kwenda ndivyo vyakula vya asili vinapotea leo hii mtu unakula yai ambalo kuku hajapandwa na tunstegemea tuishi kama wazee wetu ,hilo ni ndoto tu,lakini pia vyakula vya viwandani ikiwemo soda,vyakula vilivyosindikwa.


1631705153592.png
1631705424558.png

(source google image)

2.Ulisha wahi kujiuliza kwanini wachezaji mpira wao wana afya muda mwingi ?muangalie mtu kama Mourinyo,ole n wengine walio staafu...

Sikia nikwambie kwa faida yako ni kwamba wao kipindi chao cha Ujana walitumia muda mwingi kufanya mazoezi mpka sasa ndio maana miaka yao haiendani na mionekano yao wanaonekana bado vijana na wenye nguvu sana.

Ona picha kutoka google image
1631705715443.png
1631705771000.png


3.Ulishawahi kujiuliza kwanini watu wenye pesa walio wengi umri wao wa kuishi ni mkubwa sana?

Hii ni kwasababu ya mlo kamili na huduma bora za afya Dunia hii ukiwa huna hela ,hufanyi mazoeze na hauli mlo kamili au kati ya kimojawapo kati ya hivyo ndugu yangu maisha yako yatakuwa mafupi na kutimiza malemgo yako itakuwa ni ndoto.


Ona baadhi ya watu maarufu na miaka yao


1631706059606.png

Huyo ni Bill gates 65

1631706126977.png

Huyo ni Warren Buffet 91yrs

1631706316182.png

Aliko dangote 64yrs


ASANTENI KWA MUDA WENU NAOMBENI MNIPIGIE KURA.TUKUTANE MUDA MWINGINE
 
Upvote 1
Back
Top Bottom