hi wanajf,,,, jamani naombeni msaada wenu. ninatokwa na vitu kama shatashata ukeni lakini havinuki wala nini nikikaribia period vinakua vizito i mean maji maji mazito please help
Nadhani ni mabadiliko ya homoni yanayosababisha hiyo hali sababu mji wa mimba unakuwa haujapata kazi yake unaanza kujimega ili yai ambalo halijarutubishwa litoke.
Ila tusubiri wataalamu watujuze zaidi bt i think its normal
nadhani ni mabadiliko ya homoni yanayosababisha hiyo hali sababu mji wa mimba unakuwa haujapata kazi yake unaanza kujimega ili yai ambalo halijarutubishwa litoke.
Ila tusubiri wataalamu watujuze zaidi bt i think its normal