winluckshayo
New Member
- Dec 20, 2017
- 4
- 2
Habari wana JamiiForum,
Naomba kutambulisha kwenu AfyaTrack App. Application ya kwanza Tanzania kumuwezesha mama mjamzito na walezi wa mtoto chini ya mwaka mmoja kufuatilia maendeleo ya ujauzito au ukuaji wa mtoto chini ya mwaka mmoja wiki hadi wiki kwa lugha ya kiswahili.
Application hii imesheheni taarifa, ushauri na huduma mbalimbali za afya unazoweza kuzipata kwa kuipakua kutoka "Google Play".
Kujiunga ni rahisi sana na matumizi ya application hii ni bure.
Kwa maelezo zaidi kuhusu AfyaTrack na kupata kusoma makala nyingi zaidi za kiafya kwa lugha ya kiswahili unaweza kutembelea tovuti: www.afyatrack.com
Kupakua app ya AfyaTrack fuata link ifuatayo:
AfyaTrack - Android Apps on Google Play
Kwa maswali au ushauri wa namna ya kuboresha huduma za afya mtandaoni tuwasiliane kwenye comments au tuandikie: info@afyatrack.com
Karibu,
Dr. Winluck Shayo
Founder - AfyaTrack