Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622


Kijana Priva Elian wa Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, walidai kijana huyo alifikia uamuzi huo baada ya wanawake wawili kumgombea.

Walidai kuwa alifikia uamuzi huo Februari 27, mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na ghadhabu kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa wanawake hao.

Walieleza kuwa mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake ambaye hakutambulika jina na kumweleza kuwa achukue viungo hivyo na kuwapelekea wanawake hao ili wavigombee.

"Hatujui alitumia kifaa gani kujifyeka kwani kinaonesha ni kikali sana, kwani baada ya kukata sehemu hizo nyeti, alimpa mdogo wake ili awapelekee wanawake hao kwani ndicho kitu muhimu kwao na siyo yeye," alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la kusikitisha.
 
Heh hasira hasra, imekula kwake huyo
 
lakini nimependa sana busara yake kwamba wanawake awanagombea mshedede to me namuona ana akili kweli manake hainiingii akilini watu wawili mnakuwa mnamgombea mtu mmoja wakati mibadala ipo tu? yaelekea yakwake inajua kaazi ya mfyonzo aisee na hivi warombo wanasifika kwa mifyonzo sijui?
 
Heheheeeee, dah! hata sijui nawaza nini hapa lol
 

Umejuaje gfsonwin? hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo...Inaelekea sababu ya hao wadada kumgombania ni huo mshedede wake ndio maana akaamua kuufyeka ili wakose wote.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona alichofanya ni sawa kabisa maana maandiko matakatifu yanasema kama kiungo chako kimekukosesha basi kikate na ukitupe majini.
Teh teh mh ni kweli, ila mh ngumu, kiungo kama hicho???
 
Hahahaaaaaaaa
Ana akili huyu kijana.
Alijua mademu wanataka hiyo kitu na sio yeye
Akawapa kabisaa wajisevie.
How kind the man is..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…