Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Hahahaaaaaaaa
Ana akili huyu kijana.
Alijua mademu wanataka hiyo kitu na sio yeye
Akawapa kabisaa wajisevie.
How kind the man is..

Teh teh teh!!! Remmy bwana. Sasa watajiseviaje kitu ambacho hakisimami? Dah!! Ila jamaa ana roho ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Abadili na jina maana uanaume ndo huo ameshaukata sasa tumuweke kundi gani?[MENTION]Young_Master[/MENTION]
 
ni uamuzi wa busara sana.........

Na inapaswa kuwa mfano wa kuiga kwa vijana wengine...!!! Mimi nampongeza sana huyu jamaa kwa uamuzi wake wa busara...Kwa kweli inataka moyo kuchukua uamuzi mgumu kama huu.
 
Kafanya jambo la busara.
Kitu kinacho kusababishia matatizo inabidi ukikate.
 
Huyo hata kama sio kichaa atachanganyikiwa muda si mrefu.. Bila dushelele unadhan kuna maisha hapo?? Anasiku chache za kuishi huyo..
 
hakika jamaa kafanya maamuz magumu, duh hii ngumu kumeza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…