Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kuna usemi unaosema every dog has his day. Tusijisahau sana na kujipa hata mambo ambayo hatuna. Dunia hadaa!!! Charles Taylor anaweza nisaidia kuhusu hili, au Savimbi kama angelifufuka.Uliza kilichotokea kwenye yadi ya Dowans baada ya kufungiwa kufuli wale majembe auction mart walilowa jasho na kurudi fast kufungua makufuli yao
usicheze na king maker
Uliza kilichotokea kwenye yadi ya Dowans baada ya kufungiwa kufuli wale majembe auction mart walilowa jasho na kurudi fast kufungua makufuli yao
usicheze na king maker
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!
Ipo siku nayo yaja haki kutawala na ustawi wa taifa kwa wote kupatikanaa..Uliza kilichotokea kwenye yadi ya Dowans baada ya kufungiwa kufuli wale majembe auction mart walilowa jasho na kurudi fast kufungua makufuli yao
usicheze na king maker
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!
Mwanakijiji, usisumbue sana ubongo wako. Actually RA ndiye President de facto hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto. Angalia TRA walivyofungua makofuli yao fasta pale Dowans - Ubungo. Bungeni anataka ripoti mpya ya Richmond ifanyiwe uchunguzi na Majaji na sio ripoti feki ya Mwakiembe et al. Where does this kind of arrogance comes from? Definately he is holding the three cards. Mind you he holds a number of passports from different countries (Iran inclusive).
Umetumwa??kwani nyinyi mmekosa nini kwa RA?Acheni wivu wa kijinga huo!
de facto[/B] hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto.]
Wasp it from the above remarks that i salut you. JK mwenyewe anamuogopa RA, actually he knows what RA and Eddy can harm him asipocheza mziki wao. Ila iwe mchiriku, taarab, qaswida, R n B au Bongo Flava there is always a solution. Time will come