AG Werema na DPP Feleshi wanamwogopa Rostam?


we humuogopi?
 
Sioni sababu ya kumlaumu RA au fisadi mwingine yeyote nchini. Lawama zangu nawapelekea viongozi wakuu wa nchi, hususan Mr. President. Yeye ndio ana entertain upuuzi huu kuendelea. All this is Kikwete Administration basi.
 
 
 
 
 

wrong concept. mfanyabiashara akiunda kampuni feki na kutoa taarifa za uongo ili kujipatia fedha, huo ni utapeli, wezi na uhuni. Wafanya biashara wanaweza kuwa wezi, majambazi, nk.
 
wrong concept. mfanyabiashara akiunda kampuni feki na kutoa taarifa za uongo ili kujipatia fedha, huo ni utapeli, wezi na uhuni. Wafanya biashara wanaweza kuwa wezi, majambazi, nk.
Wrong argument: anayesajili kampuni feki na kuifanya halali ni nani..kwanini aruhusu hali hiyo hakutumia utaalamu wake ambao analipwa kufanya hiyo kazi na wabongo au ndio hizo PhD feki..
 
 


Kwa kuongezea JK nae wakati akijibu maswali ya wananchi TBC alisema yuko tayari waletwe wachunguzi wakimataifa kuchunguza Richmond!! ili hali akijua ripoti ya Bunge ipo na kila kitu kimewekwa wazi . je alionyesha kutoamini ripoti ya bunge? Je alikuwa ndio ameanzisha wazo la kuunda tume nyingine kuchunguza Richmond? ya majaji? Mi nilidhani issue ya Richmond imeshafanyia kazi na kinachosubiriwa ni hatua .. sasa mkulu aliposema yupo tayari kuleta wachunguzi wa kimataifa .. kwa upande mwingine unajiuliza .. mbona uchunguzi tayari mzee ? au ndio poteza poteza muda kidogo .. eyahay.. yani JK kwa mfano angemtumia tu Hosea hatat kamam ni yeye alimtuma angemuomba tu bwanan ntakutafutia kazi nyingine wewe nenda tu tuuwe soo .. yoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee haya yasingemkuta .. hivi nani anamshauri JK?
 
Kwani huyu RA ni nani mpaka watu wamwogope kiasi hiki. Huwa anasoma hizi habari kweli? Lakini time will tell bado kitambo kidogo kitaeleweka. Ole wao wenye kuchukua mali zetu na kuzifanya zao maana........
 
Wrong perspective: Kama kawaida yako thread zako very selective to individual of certain section of group of jamii.kamwe issue ya ufisadi si RA pekee ni issue ya kitaasisi CCM as whole" kwakuwa umeanza na wrong analogy Werema,feleshi vs RA unasahau kwamba wote ni zao la CCM therefore Werema=feleshi=RA. wako pamoja sirini kwenye vikao vya maana siyo press conference.
 

... ni ipi hiyo Tumain?!
 
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani!
Mzee Mwanakijiji, sisi tunafuata mkondo wa sheria wa Comon law, tumeurithi toka kwa Muingereza, mwenye uwezo wa kutamka kosa, ni mahakatu tuu, pekee. Kazi ya DPP ni kuprosecute akijiridhisha kuna kosa ndipo anafungua mashitaka na mahakama ndio itamke ana kosa.

RA ana kosa gani, hajawa hata kuwa investigated au prosecuted sembuse kushitakiwa?.

Naamini Mwanakijiji unaijua sheria iliyoanzisha ofisi ya DPP na mamlaka yake. Kwa wasiojua, ni DPP tuu na Rais ndio wenye maamlaka ambayo haiwi questioned na mamlaka nyingine yoyote. Hata rais hana mamlaka ya kuingilia utendaji wa DPP.

Hivyo DPP anatimiza wajibu wake vizuri tuu kwa mujibu wa mamlaka yake at his discreation as pleases. Haruhusiwi kuingiliwa na yoyote. Ndiyo mamlaka aliyopewa na sheria, kama power za rais kuteua wakuu wake, haingiliwi na yoyote, sasa atashauriwa tuu.

Werema has nothing to do with RA, Feleshi has all the powers not to prosecute The King Maker because there are two more kings to be made for 2015 and 2025!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…