Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth
Age isn't always just a number, the generation you belong to tends to have an influence on who you are, what kind of interests you have, etc. so yes, a big age difference can be the cause of a relationship's failure, but that doesn't mean such a relationship is
bound to fail. My grandparents have a 10 year age difference for example and still they've celebrated the 50th birthday of their union this year. It really all depends on the people involved.
kuna mwalimu wangu mmoja enzi zile alikwa anatushauri tuachane na visharobaro na mwanaume mzuri ni yule aliyekuzidi 5 or 10 yrs. kwasababu wanawake wanakuwa haraka ki umbo na kiakili. thats mean mwanamke wa miaka 30 kiakili ni sawa na mwanaume mwenye miaka 35 na kuendelea.
na kweli nikitizama sasahivi mvulana niliyecheza nae nimemzidi ki sana tu yeye bado ananyonya kwa mama while Im making some penny
Na nikitaka kuwa na partner lazima awe from 5 yrs older than me, sharobaro hawana maana kabisa
Alichosema mwalimu wako ni ukweli kwa maana ya kwamba wasichana huingia kipindi cha kubalehe mapema kuliko wavulana , lakini ingawa wavulana huchelewa kwa miaka miwili wastani, pengo inasawazishwa kadri wakati unavyopita. Kwa hiyo, msichana mwenye umri wa miaka 10 ndiye sawa na mvulana wa miaka 12 (kwa wastani),
lakini baada ya kubalehe kwao kuisha, wanaume hawatofautishi kwa wanawake anymore kiumbo au kiakili (again, on average).
Sisemi kuwa ni vibaya kwao kukataa kudate wanaume ambao hawakuzidi umri, nasema kwamba nadhani you shouldn't be too categorical na kuwahukumu wanaume kulingana na umri wake tu. Who knows, maybe that could make you miss on some really nice, mature ones just because they don't fulfill the "5 years older than you" criteria, which would truly be regrettable…